Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

UOGA.

Hili neno limenirudisha sana nyuma. Nìlikuwa muoga sana wa kufanya maamzi kwenye mambo yangu na kama ujuavyo vitu vingi ambavyo binadamu anatakiwa kuvifanya huwa vina age limit.

Sasa unakuja kupata ujasiri wa kufanya ulichoogopa kukifanya jana,umri nao unakukataa
 
Ukifuatilia huu uzi...

Mara wengine wajute kusoma Degree.

Mara wengine wajute kutokusoma degree.

Halafu kila mtu anadhani pengine labda angesoma au asingesoma hiyo degree ndio angefanikiwa

Sasa kwa watu hawa wawili wenye hii mitazamo, Hakuna ushauri wa moja kwa moja ambao mtu anaweza kujifunza na kuufuata.

Bado ishu ni palepale, Life has no formula.
kweli mkuu
 
Nilichokosea nikua
Tuwekee hapa kisa chako uenda ikasaidia mdau mwingine anaepita hapa kujifunza na kuepuka makosa.

Mimi nilikuwa na tabia ya kumuamini sana mtu hasa km amenipa ishara njema za kumuamini pale mwanzo.

Ila baada ya kulizwa sana hapo kati nimejifunza hautakiwi kumuamini mtu kwa 100% na usimuamini mtu wakati wote.

Kila mara hakikisha unakuwa makini na w
 
Back
Top Bottom