Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Nahtaji 🥰🥰Wee,usiniambie!? Utavuna unachokitaka😋
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahtaji 🥰🥰Wee,usiniambie!? Utavuna unachokitaka😋
Duh!...Nilikosea kuchukua faculty ya "BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION" instead of "TECHNICAL EDUCATION", Nna degree 3 kwa sas nauza nyanya Karatu.
Na hiv juzjuz hapa ROMA alinitag kwenye wimbo wake wa "MAUA YANGU"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Word...Sina ninachojutia. Kila nilichopitia kilikuwa daraja la kunifikisha nilipo hivi sasa.
Najitahidi kuwa bora, nisiwe kama nilikotoka.
Majuto yafaa nini ikiwa maisha ni sasa?
Anza kuishi sasa, achana na yaliyopita.
daah ni akina nani hao mkuu?Ilipaswa niwaache waende zao mapema
Usiku mwema mkuuNahtaji 🥰🥰
Hi comment yako imechapishwa Hadi kwenye page ya jf ya InstagramSina ninachojutia. Kila nilichopitia kilikuwa daraja la kunifikisha nilipo hivi sasa.
Najitahidi kuwa bora, nisiwe kama nilikotoka.
Majuto yafaa nini ikiwa maisha ni sasa?
Anza kuishi sasa, achana na yaliyopita.
Ni maoni bora b... kwa kuwa yanashawishi watu kusonga mbele na siyo kubaki kwenye makosa ya nyuma.
Siwezi kuwaita kwa majina mana sijui niwahitajedaah ni akina nani hao mkuu?
Lakini, wenzi bora ndio wanaoibadili dunia.Ni maoni bora b... kwa kuwa yanashawishi watu kusonga mbele na siyo kubaki kwenye makosa ya nyuma.
Kuishi ni mwalimu mzuri, na tunajifunza kwa yaliyopita, kwa maana ya makosa tusiyarudie na tuliyopatia tuyaendeleze.
Ova
B... kila mabadiliko huwa na sababu, vizuri imekuwa ni mabadiliko ya kuimarika na kujenga.Lakini, wenzi bora ndio wanaoibadili dunia.
Mimi kubadilishwa na mmoja mpaka nimefikia kuwa na mtazamo chanya juu ya maisha yaliyopita, na kuwashawishi wengine… Wakipatikana wengine kama mimi dunia itabadilika kwa kiwango kikubwa.
Kutomba bila kondom na kuwajaza mademu mimbaTuewekee hapa uenda ikasaidia mdau mwingine anaepita hapa kujifunza na kuepuka makosa.
Mimi nilikuwa na tabia ya kumuamini sana mtu hasa km amenipa ishara njema za kumuamini pale mwanzo.
Ila baada ya kulizwa sana hapo kati nimejifunza hautakiwi kumuamini mtu kwa 100% na usimuamini mtu wakati wote.
Kila mara hakikisha unakuwa makini na wanaokuzunguka.
Kozi gani?Mmmh ni mwenyeji pale ujue mkuu.
Naenda funga kazi sasa
Aquaculture and aquatic sciencesKozi gani?
Ndo Mimi sheheWewe ndo yule ulosoma sijui nini unatafuta kazi uku jf!?