Nikiwa bado shababy miaka Hi you Dodoma, 2008!, kazi, nyumba, niliwekewa mpaka house girl na mlinzi na kampuni, Sina mke, wala mtoto, mi Gym na muviii tu,
Badala ya kuwekeza kununua ardhi, nikanunua gari, la kutembelea tu!
Kampuni ilipokufa, nikapata kazi nyingine, maokoto kiduchu! Gari nikauza! Laiti ningenunua ardhi Leo ningrkua bilionea,
Kuna Dogo tulikuwa wote kazini, aliuza ardhi yake kwa bilioni 1.5 kwa nssf!
Sasa hv ana nyumba kama 10 hv!
Mie bado nachechemea! Hatsri Sana,
Wekeza kwanza keenye ardhi