ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Kufanya kazi za watu muda mrefu hadi usiku nakusahau kupambania ndoto zangu. Kumbe niligeuzwa ngazi ya kuwapandisha wengine badala ya kujituma kuboresha malengo yangu
Acha tu hii usipofanya mambo yako utafanya ya wengine hata mimi imenigharimu muda but alhamdulilah nimesimama mwenyewe