Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Mmmmh I hope hiyo mieze 6 linaweza kufanyika jambo.....bado una uchungu na maumivu, I hope you'll find healing in the process
 
Kuzalisha madada tofauti tofauti kipindi sijaoa, yaani sasa hivi nina mke wangu lakini sipati amani kabisa. Mara unapigiwa simu na huyu mwanao anaumwa, mara unapugiwa na mwingine Ada ya mtoto.
Daah basi mke wangu hana amani namimi kabisa japo nimemwabia hayo yalipita tu.
 
Mmmmh I hope hiyo mieze 6 linaweza kufanyika jambo.....bado una uchungu na maumivu, I hope you'll find healing in the process
Uchungu ninao ila nachojivunia ni skills za kuhandle uchungu...

Nipo na knowledge kubwa sana kudondoshwa na break up..

Yaani uwezo wangu wakuishi na hisia zangu,kuijua process ya stress inavyoenda...


Mtu hawezi kusema ukae na mwanamke uchumba miaKa 6 ndoa miaka 4 halafu kaachana nae bila kuwa na uchungu..

I am strong enough to be vulnerable,In fact alivyoniambia nilijifungia chumba cha pili siku nzima nalia tu na huo ni uchungu..I was disappointed sana hasa na ukweli kwamba hawezi kuwa na thamani ile ile machoni pangu milele...Nadhani ili liliniuma kuzidi hata usaliti wenyewe na hata kuachana kwetu nilimwambia umekosa kibali machoni pangu hivyo na mimi siwezi kuishi na mwanamke ambaye siwezi kujivunia popote.

Sasa nikiamua jambo langu ndo uwaga sishindwi nina mindset ya kipekee sana.
 
Umeandika kwa hisia kali sana
Yaani nikipima ni 3Γ—10⁹⁰m/cx
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kumuamini rafiki yangu. Kumpa hela anunue mazao kijijini. Alikula Ela yote na ukimuuliza VP mbona mzigo hauji Ana SEMA alipata matatizo. Dah ni miezi 2 imeisha now.
Kama ni wa kike kamle na wewe. Kama ni msela basi fanya namuna alulipe au mlogeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…