Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Kuna Maamuzi najipanga kuyafanya,
Ni ya kibabe sana, Hayana in-between ni WIN or LOSE,
Nipo katika muda wa ku calculate risk na mipango ikibuma nitokeje.

Nikiyafanya Nitaleta mrejesho hapa, Asaivi Sitaki kusema Miruzo mingi humu,
Potelea kote.
 
Back
Top Bottom