Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Nina mengi ila mawili ni haya.
1)Kuoa mtu mtu niliempenda kwa moyo wangu wote na kumfanyia kila kilichokuwa ndani ya uwezo wangu kumbe yeye hakunipenda ila alijifichia matatizo yake kwangu.

2)Kusaidia marafiki zangu fedha nyingi hasa wakiwa katika wakati mgumu ila nilipoingia katika wakati mgumu wao walinikataa na kuona pesa yao itapotea.
 
Pole sana mkuu. Duuuh! Ukisalitiwa yaani mke wako na michepuko yako, wanakuona fala, halafu jamii pia, kama ilikuwa inakuheshimu, haitakuheshimu kama mwanzo.
 
Back
Top Bottom