Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Wewe utateswa paka akili ikukae sawa pumbavu.
Mimi niliamini sana katika Ndoa katika kushirikiana katika umoja...

Pamoja na madhaifu yangu ila siku zote nilikuwa na huruma na mke wangu..

Nimeoa aina ya mwanamke ambaye ukimkabidhi mwanaume yeyote mwenye akili timamu hawezi kudumu nae hata mwaka 1 ila vyote nilipuuzA japo hasira za hapa na pale zilikuwepo

Wakati namvumilia yeye kwa changamoto zaKe za Afya ambazo zimepelekea tusipate mtoto,uchawi wa kwao imagine kanisaliti tena kanisaliti ila hali niliota mara 2 na nikamkanya ili hali nilimsisitiza sana kwamba sisamehi usaliti,ili hali nimekataa offer z kuzaa nje kibao kwa lengo la kujenga misingi ya Ndoa..Ili hali hata movies za usaliti siangalii na anajua.

Kuna mda ulifika tukawa na migogoro mingi nikawa namwambia unafanya kila kitu sawa ila moyo wangu unakukataa,kwanini???Siku moja tumekaa katika mazungumzo akaniambia kila kitu kuhusu usaliti wake akaniomba na msamaha tuanze upya....

Hapo ndo nilipomwona kwa uhalisia wake...Nilipata uchungu sana sababu Pamoja na madhaifu yake sikuwaza kumuacha nikiamini ni mwaminifu sasa amevuka mstari ambao hajawahi kufuka ex wangu yeyote nyuma huko nikamsemehe na kuendelea nae..amegusa mahali ambapo hapaguswi.Kagusa heshima yangu, kagusa Uaminifu kagusa misingi ambayo hajawahi kugusa yeyote...

Hapo sasa ndo nikamuona kwa madhaifu yake yote nilipitia kipindi cha uchungu sana kwa kama miezi 3 na yeye akiwepo hapo hapo ila nikagundua hawezi kuwa na thamani ile ile nikagundua siwezi nikawa proud mbele za watu nina mke,nikagundua kwangu mimi neno mke wangu lina heshima kubwa ambayo yeye haistahili na Kamwe hatakaa kuistahili hata nikiendelea nae..

Huwezi amini nimemsamehe ila nimeachana nae na sababu sio kwamba sijasamehe ila kwangu mimi kumuita mwanamke, mke wangu naona nimemuita jina la heshima sanaaa,Kinachonishinda ni kwamba nashindwa kumtofautisha na wanawake wengine...nashindwa kumuona km Ana thamani, nashindwa kumuangalia kwa upendo,nashindwa hata kumuona km atanisaidia chochote maishani,kifupi namuona ni mzigo tu maishani mwangu naona my energy is stacking sababu yake..Miaka yote ya uchumba na ya ndoa ni bure..

Kwanini nakataza Ndoa ya makaratasi ni kwa sababu dada zangu,mama yangu na ndugu wote wanampenda mke wangu,Yes,ni wale wanawake wenye mionekano ya wife material sababu amenipa kazi ya kukaa chini kuwaelewesha ndugu zangu kwamba Navunja Ndoa mbaya zaidi lazima watataka sababu ya msingi..tumetengana wanajua ila wapo dilemma wanasubiri tukisikia kauli yangu.Mimi nasuburi miezi 6 iishe nitafute million 1 nitoe rushwa nipate talaka ya haraka...

Nini nitawaambia ndugu zangu,bonding iliyopo je??

Nikichojifunza kuhusu Usaliti ni chakushangazA..Eti sijaumia kusalitiwa kama nilivyoua mda niliopotezA,heshima yangu kuguswa,heshima niliyompa kama mke,nimeumia kwamba hajanionea huruma wakati mimi nipo busy kumuona huruma,nimeumia kwamba nimemshirikisha kila kitu kwenye mipango yangu ya maisha,nimeumia kwamba nimepuuzA madhaifu yake mengiiiiiiiiii nikiamini Lakini sio msaliti..Finally kile nilichodhani hawezi kufanya ndo kafanya mstari nikidhani hawezi vuka ndo kavuka..

Nailaani siku niliyooa,nalaani kila kitu kuhusu hiyo siku gharama,ku match kanisani,Furaha niliyopata.

Nachojiamini ni uwezo wangu wa kuhandle stress imagine unasalitiwa halafu hata kibao hurushi halafu unakaa miezi 3 na mwanamke na mapenzi mnafanya mwanzo nikidhani haitasimama ila ilisimama halfu siku moja unaona tu huyu hana thamani tena ya mke u amwambia tutengane then badae tutaenda mahakamani.Sikudhani kama I am that strong [emoji123] I hata mimi limenishangazA...ila nilimtukana mara kadhaa nisiseme uongo..

Yaani naacha nae ila hata nikiendelea nae nawezA pia ni ile kusimamia masingi yangu na confidence tu I can get better than her na ile hali ya kumuona hana thamani ambayo mke anastahili kupewa.Self pride tu nina maisha mazuri na naweza kupata bora zaidi yake..

Hapa nimepark kigari changu nacheki mademu wa chuo..

Both ways,it benefits me.Mi sina maisha mabaya
 
Yule mbwa kaibiwa simu ya kwanza kwenye daladala, nika mnunulia nyingine juzi kaenda sehemu nka mwambia usiende uko sio safe ka force kwenda,

jana usiku wenye kazi zao za usiku wame loa simu .afu asubuhi ana jiliza ..kinacho niuma sio yeye kinacho niuma ni pesa yangu aija maliza hata week ningefanyia mambo mengine nilio weka pending kwa ajili yake
 
Mnunulie nyingine mkuu kaibiwa.
 
Back
Top Bottom