Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

πŸ™Œ Hao paka nao wanatumia nafasi yao vzr, hawataki mazoea na blacks πŸ˜‚
 
Mambo ya matajiri hayo, sisi home tulikua na paka ila hatukufikia hatua ya kuwapa majina.
Kazi yao ilikua ni kuweka usalama panya asitie maguu.

Msosi wake wa gharama ilikua ni maziwa fresh, mzee akiamka vizuri au akizaa anakua na oda yake ya maziwa.
Hiyo kawaida kabisa na ndio nimezoea hivyo sasa kukutana na paka wanaishi kama petty yaani urembo na wanagharamiwa juu nikashangaa sana.
 
Sisi mpaka bomba la mvua yaan hiyo early 90's tunachagua touoge maji moto au baridi

Pia home kulikua na jackuz ndani yaan haya sio kwamba ni hekaya za abonuas / alfa ulela ulela.
 
Acha kukandia chakula kitam sana hicho mkuu, hata leo nimekula ugali+samaki na glass ya mtindi mkuu!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna siku niliwahi kusema kuwa we jamaa kwenye suala la hivo vitu upo radhi wakupige shaba aiseeeee...

Nilijua tuu ukiona hii comment lazima utaniungia daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…