Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Wakuu,

Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu

Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣

Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani

Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀

Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Pampu ya mafuta nyumbani hapo hata ujinga upo. Ukikosea kidogo tu kuzima sigara unaunguza mtaa mzima.
 
Sisi mpaka bomba la mvua yaan hiyo early 90's tunachagua touoge maji moto au baridi

Pia home kulikua na jackuz ndani yaan haya sio kwamba ni hekaya za abonuas / alfa ulela ulela.
Najaribu ku-imagine nyumba ya Reginald Mengi miaka ya early 90's (1990-1993) ilikuaje, na ilikuwa na facilities gani Dr am 4 real PhD Sky Eclat
 
Wakuu,

Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu

Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣

Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani

Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀

Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
Mimi nilikuta shuka la Msd Kwa jamaa nilicheka sana nikamuuliza lilifikaje jamaa akaniambia tulia wewe hujui maisha. Msela Wala hakuwaza. Kuhusu kwamba kujua pesa ipo ama haipo siyo jukumu langu.
 
Najaribu ku-imagine nyumba ya Reginald Mengi miaka ya early 90's (1990-1993) ilikuaje, na ilikuwa na facilities gani Dr am 4 real PhD Sky Eclat
Kama ulaya na marekani kulikua mbali Sana in terms of infrastructure & technology.

Vitu Kama washing machine,bomba la mvua linalo toa maji moto na baridi bafuni, vitu Kama oven, fridge,Tv, jakuzi, pasi ya umeme yaan ilikua nadra Sana miaka ya 89's kumiliki ivyo vitu.
Wachache Sana ndio walikua na hiyo access
 
Mwaka 2010 nilienda kwa rafk angu alikuag low key sana chuga hiyo kumbe ndani kuna swimming pool kama bwawa mixer vile viboti vya kwenye maji kama pikipiki artificial bwawa bonge moja la eneo
Kuna watu wamezaliwa wamekuta Mali na wameziendeleza so unakuta hawana ulimbukeni.

So unakuta hata hafananii kumbe ni mtu mwenye Maisha ya uchumi wa juuu
 
Back
Top Bottom