Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Nilikua naendesha gari ya mizigo nikapata kazi kupeleka mavyuma fulani hivi mbweni, sikwenda na mtu ila nilipewa namba ya simu nikaambiwa ukifika maeneo fulani piga simu kuna mtu atakufuata.

Mie huyoooo nilipofika eneo la tukio nikapiga simu full kufoka nimeshafika muda mrefu hapa, dk 0 ikaja V8 nyeusi tiiii. Ikaja kuni block kwa pembeni, jamaa akashusha kioo akasema nifuate.

Asee kila kona tunayokunja ni mijengo ya maana, mitaa mizuriii halafu pako kimyaaa, tukafika mpaka nje ya mjengo mmoja geti kuubwa, lile lango likafunguliwa kwa rimoti tukazama ndani.

Asee ile kuingia ndani nikawa nashangaa shangaa tu hata sielewi, lilikua bonge la jumba, swimming za maana halafu juu ya paa kuna parking ya helicopter, mataa ya barabarani yapo ndani.

Kuna jamaa nahisi aliona shauku yangu, akaniambia "zunguka zunguka uone nyumba ya rais wako ili uende ukasimulie na wenzio" nilizunguka kidogo tu ila maeneo mengi yalikua na makatazo kupita.(nyumba ilikua haijaisha ila ilikua inatisha aseee)
Mzee ulienda nyumbani kwa Mama kizimkazi ?
 
Huyo alikudanganya mkuu, kwanza EWURA hawawezi kutoa kibali na pia OSHA hawawezi wakatoa kibali cha kuweka fuel station kwenye makazi ya mtu.
Unachokataa mkuu ukijui mm babu yangu alikuwa na fuel pump hadi Leo bado ipo. Ilikuwa wa mafuta ya taa na diesel na watu walikuwa wanakuja kununua mafuta kwa babu pale , pia kulikuwa na jengo la posta office hadi sasa bado lipo pale nafikili ni kutokana na umaarufu na pesa ya hahaha pamoja na chai . Miaka hiyo vitu viliwezekanahivyo
 
unashanga mil 5. baresa kila mwez pesa ya matumiz kila mtoto analamba m 500
Mmmh....!!! Huyo Bakheresa mwenyewe ana utajiri kiasi gani mpaka Kila mwezi awe anawapa watoto wake Kila mtu $200k za kwenda kutupa tu?
kwa familia ya mzee bakhresa hapo sawa
Na wewe kweli umeikubali kwamba Kila mwezi Bakheresa anampa Kila mtoto wake Tsh.500m za kwenda kuchezea tu?
 
Tulihama mkoa na huko tulipoenda tukapata jirani,,, wenyewe walikua hawaendi shule kusoma wanasomea nyumbani tuu walimu wanakuja kuwafundisha😂 shule wanaenda kipindi cha mitihani yenye maana tuu.. Tulivomaliza form 4 kila mtu alikabidhiwa biashara yake rasmi na mtaji wa kutosha, 😂😂😂 kipindi iko sisi wengine ndo tunapambana kusoma vile vikozi vya kompyuta sijui nini tukisubiri matokeo😂😂. Sikuhizi nawaona huko tiktok wakifanya challenge na products zao😂😂.
 
Sema huu uzi unazidi kunikatisha tamaa, kuna mahali nilikosea sana kwenye maisha
1000012671.jpg
 
Mmeongea habar za paka kutumia laki hadi nmecheka
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma Bro alikuja home, hakuwa home kwa muda so akarudi na rafk ake sasa skuio wakapikiwa wali na samaki wakatengewa wali na samaki mkubwa uyoo sa ngap muda wa kunawa pale yule paka akarukia yule samaki akashuka nae mpka chini,
Aisee nlikua naskiaga paka anaroho saba ila sjajua labda skuio alitembea nayo moja ama vipi maana alipokea rungu moja ata sjui bro alitoa wapi rungu lile maana hazikuisha hata sec 30 toka bwana paka azingue na paka alikaa kmya hadi leo hii navyoongea ndugu waandxh wa habar
 
Wewe
Tulihama mkoa na huko tulipoenda tukapata jirani,,, wenyewe walikua hawaendi shule kusoma wanasomea nyumbani tuu walimu wanakuja kuwafundisha😂 shule wanaenda kipindi cha mitihani yenye maana tuu.. Tulivomaliza form 4 kila mtu alikabidhiwa biashara yake rasmi na mtaji wa kutosha, 😂😂😂 kipindi iko sisi wengine ndo tunapambana kusoma vile vikozi vya kompyuta sijui nini tukisubiri matokeo😂😂. Sikuhizi nawaona huko tiktok wakifanya challenge na products zao😂😂.
Una biashara gan sahivi
 
Back
Top Bottom