Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we acha tu chupi nyekundu imeanikwa gorifa ya nane mji mzima inaonekana yaani unaweza jua mama mwenye nyumba leo kavaa nyeusi kesho nyekundu, hasa lile jengo la vijana house
Yap, wakati anatoa maelezo nilojua ni ya sa100.Naskia Sir 💯 ana nyumba mbweni
Kwani Kuna SHIDOWewe ni muongo
Sijatetea🏃🏃🏃🏃Wee dactar na wewe sasa unaanza kutetea upande wa jamaa..
Ukute na wewe wale wale wapenda maziwa ahahahah
Maziwa si yana lactus sijui
We Acha TU mkuu.Na kuna zingine ukizaliwa umekwisha😅😅
Kweli mkuu,Hii ndio inaitwa show me ur parents and i will show u why u r successful in life
Wote tuna Maisha yetu Ila Sio Matajir tupo uchumi wa kati juu ikiwa na maana TUNAWEZA KUSAFIRI NA NDEGE (AEROPLANE ✈️)vipi mmetoboa wangapi au wote mme hifadhi vyeti makabatini?
Hongereni sana mkuu kamwe msiache ibadaWote tuna Maisha yetu Ila Sio Matajir tupo uchumi wa kati juu ikiwa na maana TUNAWEZA KUSAFIRI NA NDEGE (AEROPLANE ✈️)
Na mengineyo mengi mazuri mazuri
NB.
Sipo hapa kujimwambafy ama kujifanya superior being nipo kubadilishana MAARIFA na kujifunza.
Balaa Sana mlangoni mnaweka ndoo za maji masufuria na sahani vikombe in case mwizi akijaribu kufungua mlango vipige kelele kuwa amsha.Wa kumshukuru ni mchina maana kama hali ingekuwa ile ile ya kumiliki JVC, SONY na Panasonic nafikiri kwa sasa bei ya TV ingekuwa ni sawa na bei ya magari mengi yaliopo barabarani😀
Hapo ukiwa mwalimu au mhasibu unatamani uache kazi uende kua house boy/girl.Kuna nyumba moja nilienda housegirl wao analipwa millioni moja kwa mwezi.
🤣 nilizunguka kule nyuma nikawa nashangaa bahari ilivyo na mawimbi ya kistaarabu.(mawimbi madogo madogo kama chips za kinondoni)Kumbe ndo ww ulikuja hapo kwetu ukawa unatembeatembea ukapotea tukaanza kukutafuta 😂
Transaction ya 200M kwa kutumia kadi hapa Bongo??Kuna ofisi moja nilikuwa nafanya kazi miaka kma mitatu nyuma, nlikuwa cashier mm na mwenzng.
Akaja mteja mmoja wkt huo mm nilikuwa namuhudumia mteja mwengine mwenzng akampokea uyo jamaa, sasa jamaa bill yake ilikuwa inasoma milion mbili na jamaa alitoa card ya bank kulipia.
Kikichotokea mwnnzg akakosea kuandika zile digits baada yakuandika two milions jamaa akakosea akaandika milion mia mbili na akaprint na risit na akampa jamaa nae akaondoka wote bila kujua.
Mziki ukaja wkt wakufunga hesabu tukashangaa mbona mauzo yapo juu kuliko kawaida huku na huku ndiyo kugundua error ilofanyika huwez amini ilipita wiki nzima na jamaa hakushtuka kabisa uzuri kwny risit kuna option yakuandika namba ya mteja ndiyo anapigiwa anaambiwa yan hata yeye hana hbr wala kushtuka ikabidi kampuni imuombe samahan tu aje na jamaa alikuja kurud badae sna nkasema kuna watu wana mbumba aisee milion mia mbili inatolewa na bdo mtu hashtuki.
Ulimpataje rafiki wa Masaki ikiwa ulikuwa kapuku?nilienda kwa rafiki yangu masaki nikakuta kila mtu amepewa milion 5 kwa ajili ya kufanya shoping ya sikukuu ya eid ilikuwa ni 2017 wkati huo mimi nimenunuliwa nguo za mtumba
Ukiwa umezaliwa maisha kwejye familia bora ni rahisi na wewe kuishi maisha bora hata ukiwa mkubwa na familia yako binafsi."Hata wakikuwa" ulimaanisha nini mkuu
Chai? 😁Transaction ya 200M kwa kutumia kadi hapa Bongo??