Ulikuta Nini kwenye Geto la mshikaji wako ukabaki kujiuliza hiki kilifikaje hapa?

Mimi nilikuta papai lenye shimo chini ya kitanda cha mshikaji, Mshikaji alikuwa na tabia ya kununua mapapai kila mara ila alikuwa hali anayaweka tu ndani baada ya muda anayatupa yakiwa na mashimo kwa chini.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ina maana mshkaji akifika sokon anachagua papai lake zuri la kuvutia
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ina maana mshkaji akifika sokon anachagua papai lake zuri la kuvutia
Jamaa anazingua sana mtaani, kila baada ya siku 3 lazima atajinunulia mapapai ila kula hali, yeye ni mtu wa kuvuta hisia tu, ukimuona muda wote ni mtu wa tabasamu tu kumbe ana jambo lake na papai akirudi magetoni.
 
Mshkaj wangu wa olevel geton mwake kulikuwa na vitu vifuatavyo
1. Meza na viti vya skul na majina yake kabisa
2. Lim kama bunda tano hivi na mihuli kabisa ya skul
3. CPU ya computer library ya skul na majina kabisa ya skul, asee yule jamaa alikuwa muhuni sana

Kuna siku aliishiwa unga geto ulikuwa ni msimu wa mahindi mabichi aseee jamaa alikuja magetoni na gunia limekaribia kujaa mahindi sikujua aliyatoa wapi mpaka leo, tulichoma tukala na hatukuuliza aliyatoa wapi
 
Kwenye mto wa kulalia tulikuta chupi ya demu ina mavi fresh kabisa. Yaani washikaji tulikwenda kupiga story na jamaa cha kushangaza chumba chake kilikuwa kinanuka mavi ile mbaya kila tukitafuta hatukuona kitu. Ee bwana eeee, kuja kubinua mto kimba hilo limevirigishiwa chupi ya demu mpaka washikaji tukawa tunajiuliza huyu jamaa analala na chupi ya mavi kwa msingi upi kwamba ana mmiss demu wake na akimkumbuka ndipo ananusa mavi yake au?
 
Huyo akipewa wizara lazima mtubu
 
Aiseee!!!
 
Imagine kama ungekuwa na mfua na harufu usisikie ushakunywa Koji Tyr๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hata sishangai...
maana walimwengu tuna maajabu mengi sana

cc Simara
Kabisa kipindi nilikuwa scout wa shule tukaenda kusaka watoro tukavamia geto la jamaa Ile kuingia tukakuta ule mwiko wa shuleni ule mkubwa kabisa
Mbegu za mahindi za pakiti mpya kabisa.

Uvuguni tukakuta mabetri ya gari waya nk

Begi la nguo za watoto wadogo sana almost mwka1 Hivi.

Na mifuko3 ya cement ikabidi tumufuate mwalimu wanazengo walijaa sana pale na kuvitu nimesahau vya ajabu ajabu tu

Kwa watu Kuna mambo ya ajabu sana
 
Ndege wafananao.

Ukiona unakutana na vitu usivyovielewa kwa marafiki zako basi hamruki pamoja. Ukijisahau unaweza shangaa unahitajika polisi ukatoe maelezo rafiki yako kaiba mashuka ya hospitali na haonekani alipo.
Hii kweli kabisa.
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ