Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k.

Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na tabia ya mtu?
 
Back
Top Bottom