Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Labella
Wtf did I just read
 
Nikiwa gynecologist, daahπŸ˜… yule dada alikuwa na k nzuri sana.
Nipo nipo, busy na kazi
Nyie ma gyne(me) ni nyoko sana kwenye hizo mambo.
Nadhani katika specialities ,zote mnaongoza.

Sema kuna wanawake wengine huwa wanajilengesha wenyewe.
 
Nyie ma gyne(me) ni nyoko sana kwenye hizo mambo.
Nadhani katika specialities ,zote mnaongoza.

Sema kuna wanawake wengine huwa wanajilengesha wenyewe.
Sina hamu na daktari bingwa wa wanawake yule baba sio Kwa kunikagua kule looh🀣🀣
 
Nyie ma gyne(me) ni nyoko sana kwenye hizo mambo.
Nadhani katika specialities ,zote mnaongoza.

Sema kuna wanawake wengine huwa wanajilengesha wenyewe.
Sasa mkuu, mdada classic anakutanulia miguu mbele yako umkague. Huna shida yoyote kiafya, jamaa anawika vizuri tu.
Na sisi ni binadamu ujue, moyo unadunda, damu inachemka.
 
Sharti la "Anizidi akili" linafanya nisikutane nae...
 
MTOTO WA MWENYEKITI WA MTAA πŸ˜€
Ni pisi kali ila tatizo inajikuta tomboy fulani hivi mtaani, na akija geto anabadilika anakuwa soft balaa.
Picha linaanza, Mwaka 2022 nilipata mchongo wa kuwa Karani Mwandamizi sasa kwenye utambulisho nikafika kwa mwenyekiti, Mzee Iman πŸ˜€ Sheikh fulani hivi aliyepewa bahati ya kuzaa wadada sita pekee katika uzao wake katika ndoa zake mbili. AISHA AISHA nimekuita mara mbili, huyu mazni ni chuma ila sina uhakika kama kuna ndoa maana kuna wakati ananipa pigo za ovyo sana! Siku moja aliniambia kuwa nikiona tamaa zimenizidi sana basi nioe wake hata wawili wamsaidie kazi! ELEWA NENO KAZI πŸ˜€
TO CUT STORY SHORT:
Wakati wa utambulisho niliomba nichaji kishikwambi wakati tunaendelea kupewa mabalozi wakuzunguka nao mtaani, tulipomaliza nikakiomba kishikwambi changu nikaanze kazi ila ndani nikakuta kipande cha karatasi kina namba za simu na jina AISHA! Nikajua Mbuzi imefia kwa muuza supu.
Ni wife Material ila pigo zake za kiimani ndo moto!
 
Kwamba mbuzi 🐐 kafia kwa muuza Soup 🍲... Ngoswe & Mazoea...
 
Kwamba mbuzi 🐐 kafia kwa muuza Soup 🍲... Ngoswe & Mazoea...
Kuna siku Mzee alinikuta nimesimama na Binti yake! Basi akacheka sana! Ila hapo kwenye wake zaidi ya mmoja ndo kipengele ambacho sikiwezi!
 
Watu mio na koo za kiroho mna matatizo sana.

Koo za simba hatuna hayo matatizo wala hatuyafikirii.

Kooo za simba tunaoana na koo za simba wenzetu au zile koo zenye urafiki wa karibu na zenye baraka za jadi za koo za simba kiroho, nje ya hapo haiwezekani.
 
Tulikutana hospital nilikuwa naumwa halafu yeye ni dr basi akanibembeleza mgonjwa wake [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Wachaaa wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…