Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Nilikutana chuo na mme wng,alionesha kunipenda na kunijali sana,tukaanza kuishi akiwa maskini sana tukawa tunaungaunga maisha,Mungu akasaidia tuna vihela vya mboga,hamna rangi naacha kuona jamani,nna kila kitu ndani ila nna majuto sana,kanifanya nijione sina thamani,moyo wangu una maumivu na majeraha saaaana,nna uchungu Moyoni ilikhali yeye haoneshi kujali hata kidooogo,kanenepa ananioneshea mifano ya wanaume wengine wanaochepuka na wake zao hawalalamiki,anajiona yuko sahihi,ama hakika binadam wanabadilika!!!
Imebidi niangalie lini ulijiunga, kumbe wewe ni mkongwe kabisa.

Zipo solutions nyingi tu, ni wewe kuangalia options zipi zitakupa unachohitaji kwa sasa.
 
Imebidi niangalie lini ulijiunga, kumbe wewe ni mkongwe kabisa.

Zipo solutions nyingi tu, ni wewe kuangalia options zipi zitakupa unachohitaji kwa sasa.
Umefanya kama mm nilivyoona 2013 nikajua yupo serious
 
Na ulifanya kusudi sababu ushamuelewa 😹😹😹

Mimi bana aliniambia nyie madent hamjatulia njoo nikupime HIV, na mimi najijua mtulivu nikampa mkono toa damu dr nipime.!!
Ila hapo kiroho kiko juu juu, nikamwambia naomba niende toilet mara moja akapiga simu maabara nikaletewa kopo likashushwa shuka la kijani nikojoe 😂😂😂

Ile siku mpk ujauzito nilipimwa dadeq.!!
Nikajipigisha simu ya uongo nikajifanya network haishiki ili nikimbie si akanipa simu yake.!! 😹😹
Nilitamani nimtukane alinikwaza sana mwenzie nilikuwa na beep wala sikumaanisha.!!
Majibu yalivyotoka niko fresh niliruka kwa furaha naye si akanihug akanila mate 🤦‍♀️
Basi matibabu mengine yakaendelea mpk leo
Nikiolewa na daktari mniite mbwa🤣🤣🤣🤣nimewaza tu yaan
 
Back
Top Bottom