Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Hahah Yan Kuna muda uko single Kuna muda unakuwa na mtu Kuna muda umeachika😀Humu wifi ni kunata na beat, ukija uzi wa single tumo. 😹😹😹
Yaani hatueleweki eleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah Yan Kuna muda uko single Kuna muda unakuwa na mtu Kuna muda umeachika😀Humu wifi ni kunata na beat, ukija uzi wa single tumo. 😹😹😹
Yaani hatueleweki eleweki
Naelewa! Nimependa tu muundo wa maneno😂😂😂Utani tu mkuu
😹😹😹 kuna muda single maza, kuna muda hujazaa.!!Hahah Yan Kuna muda uko single Kuna muda unakuwa na mtu Kuna muda umeachika😀

😂😂😂Nimecheka had nimepaliwa😹😹😹 kuna muda single maza, kuna muda hujazaa.!!
Humu tu,![]()
Hayo madude yako romantic sana halafu lina sauti flani la Jaivah 🫦💦💦Alafu madaktaree bhana sema wengi zipu nothing 😂😂😂
Kuna mkaka alikuja kututrain chuon kwetu masuala ya afya ya uzazi kipind miak hiyo
Nilikaa mbele na juba langu refu sikupak hata poda Wala lipstic nimepauka 😂😂
Baada ya masomo ukawa muda wa discussion akawa anasimamia kundi letu
Full kuniangalia Kwa kuibia yule daktari ni handsome balaa akiongea Sasa uwiii 😂😂
Kuna siku nilisemaga nna mapacha halafu nikasahau sasa si kuna member akaja kunikumbusha nikabaki nashangaa.!! 😹😹😹😂😂😂Nimecheka had nimepaliwa
SeriousJf nabado natafuta mume mdogo saivi awe anahela kushinda huyu
Hii kupaliwa huwa mna paliwa kweli. Au ni msemo tuu.😂😂😂Nimecheka had nimepaliwa
Au ile ya kububujikwa na machoziHii kupaliwa huwa mna paliwa kweli. Au ni msemo tuu.
Pole.
Jf nabado natafuta mume mdogo saivi awe anahela kushinda huyu
Nimepaliwa kweli Nina mafua so siunajua mafua alafu ucheke sanaHii kupaliwa huwa mna paliwa kweli. Au ni msemo tuu.
Pole.
Ahahaha nipo nafatilia toka mwanzo😂😂Ngoja nilie kwanza Wii
Nikajifanya mapozi mengi mara aibu mara simtaki alikuwa ananitafuta lkn bhana Yan tulikuwa hatuendani likaka lile mwee 🤣🤣
Haikua mbinu bro nilikua na stress sana hiyo siku sikua kwenye mood ya kupiga stori ila ikatokea hivyomwamba una mbinu za kivita.. salute
Wifi ulikuwa sitaki nataka muonee 😹😹😹😂😂Ngoja nilie kwanza Wii
Nikajifanya mapozi mengi mara aibu mara simtaki alikuwa ananitafuta lkn bhana Yan tulikuwa hatuendani likaka lile mwee 🤣🤣
Uko wapi......Nilikutana nae harusi ya classmate wangu ila kwa kuangalia trend hapa hamna mke ni kudate tu
Pole.Nimepaliwa kweli Nina mafua so siunajua mafua alafu ucheke sana