Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Ulikutana vipi na mwenza wako? Je, mazingira yanafungamana na tabia ya mtu?

Na ulifanya kusudi sababu ushamuelewa 😹😹😹

Mimi bana aliniambia nyie madent hamjatulia njoo nikupime HIV, na mimi najijua mtulivu nikampa mkono toa damu dr nipime.!!
Ila hapo kiroho kiko juu juu, nikamwambia naomba niende toilet mara moja akapiga simu maabara nikaletewa kopo likashushwa shuka la kijani nikojoe 😂😂😂

Ile siku mpk ujauzito nilipimwa dadeq.!!
Nikajipigisha simu ya uongo nikajifanya network haishiki ili nikimbie si akanipa simu yake.!! 😹😹
Nilitamani nimtukane alinikwaza sana mwenzie nilikuwa na beep wala sikumaanisha.!!
Majibu yalivyotoka niko fresh niliruka kwa furaha naye si akanihug akanila mate 🤦‍♀️
Basi matibabu mengine yakaendelea mpk leo
Labella
Wtf did I just read
1721113379713.jpg
 
Nyie ma gyne(me) ni nyoko sana kwenye hizo mambo.
Nadhani katika specialities ,zote mnaongoza.

Sema kuna wanawake wengine huwa wanajilengesha wenyewe.
Sina hamu na daktari bingwa wa wanawake yule baba sio Kwa kunikagua kule looh🤣🤣
 
Nyie ma gyne(me) ni nyoko sana kwenye hizo mambo.
Nadhani katika specialities ,zote mnaongoza.

Sema kuna wanawake wengine huwa wanajilengesha wenyewe.
Sasa mkuu, mdada classic anakutanulia miguu mbele yako umkague. Huna shida yoyote kiafya, jamaa anawika vizuri tu.
Na sisi ni binadamu ujue, moyo unadunda, damu inachemka.
 
Sharti la "Anizidi akili" linafanya nisikutane nae...
 
MTOTO WA MWENYEKITI WA MTAA 😀
Ni pisi kali ila tatizo inajikuta tomboy fulani hivi mtaani, na akija geto anabadilika anakuwa soft balaa.
Picha linaanza, Mwaka 2022 nilipata mchongo wa kuwa Karani Mwandamizi sasa kwenye utambulisho nikafika kwa mwenyekiti, Mzee Iman 😀 Sheikh fulani hivi aliyepewa bahati ya kuzaa wadada sita pekee katika uzao wake katika ndoa zake mbili. AISHA AISHA nimekuita mara mbili, huyu mazni ni chuma ila sina uhakika kama kuna ndoa maana kuna wakati ananipa pigo za ovyo sana! Siku moja aliniambia kuwa nikiona tamaa zimenizidi sana basi nioe wake hata wawili wamsaidie kazi! ELEWA NENO KAZI 😀
TO CUT STORY SHORT:
Wakati wa utambulisho niliomba nichaji kishikwambi wakati tunaendelea kupewa mabalozi wakuzunguka nao mtaani, tulipomaliza nikakiomba kishikwambi changu nikaanze kazi ila ndani nikakuta kipande cha karatasi kina namba za simu na jina AISHA! Nikajua Mbuzi imefia kwa muuza supu.
Ni wife Material ila pigo zake za kiimani ndo moto!
 
Kwamba mbuzi 🐐 kafia kwa muuza Soup 🍲... Ngoswe & Mazoea...
 
Kwamba mbuzi 🐐 kafia kwa muuza Soup 🍲... Ngoswe & Mazoea...
Kuna siku Mzee alinikuta nimesimama na Binti yake! Basi akacheka sana! Ila hapo kwenye wake zaidi ya mmoja ndo kipengele ambacho sikiwezi!
 
Tupeane uzoefu , ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza, inasemekana mazingira unayokutana na mtu huwa yanatoa mustakabali wa penzi lenu na yanaeleza tabia ya mtu, kama ni mtaani, uswazi au ushuwani, Bar au kwenye nyumba ya ibada n.k.

Je, ni kweli mazingira huwa yanafungamana na tabia ya mtu?
Watu mio na koo za kiroho mna matatizo sana.

Koo za simba hatuna hayo matatizo wala hatuyafikirii.

Kooo za simba tunaoana na koo za simba wenzetu au zile koo zenye urafiki wa karibu na zenye baraka za jadi za koo za simba kiroho, nje ya hapo haiwezekani.
 
Tulikutana hospital nilikuwa naumwa halafu yeye ni dr basi akanibembeleza mgonjwa wake [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Wachaaa wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom