secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Nilikuwa mkali wa kupiga denda, siku moja nilimpiga denda mdada wa watu akaishiwa na mate mdomoni mpaka akapelekwa hospital, yaani mpaka Leo nilimpiga denda mtu simwachi salama coz nina ulimi mrefu utadhani kinyonga.