Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

Umesahau Mchezo wa kuruka kamba huku unaimba ā€œHamisi kanya… bila kuzoa… kunguru kaja… kayadonoa šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

mchezo mwengine unaitwa ā€œKIPANDEā€ unarusha kigae then unaruka kwenye michoro kwa mguu mmoja or miwilišŸ˜‚šŸ˜‚
IMG_0206.jpeg
 
Kuna mchezo mmoja tulikuwa tunauita Master upo kama ule wa olympic wa kuruka kwenye mchanga ila huu unaweka vijiti ukiruka umbali fulani unasogeza kijiti na mwezako anaruka avuke kijiti
 
Back
Top Bottom