Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

1. Rede kumanyua juu kwa juu eeeeh hewani
2. Tennis
3. Mbio za miguu 100m, 200m
4. Goroli
5. Uke wa Baba na Mama
6. Hide and seek
7. Swimming
8. Netball
9. Basketball
10. Football
11. Ngoma kukatika kiuno
12. Squash

Naishia hapo Nilikuwa kila jambo sipitwi..
Nili Unga juhudi za Rais aliyekuwa madarakani 🤣🤣🤣
Duuh
 
Kombolela hasa nyakati za usiku maana huko tulikuwa tunachaguliana me na ke
Unafaham nini? Kilichokuwa kinatokea ni siri yetu
Tena wakubwa wanajificha sehem moja mda mrefu,wakimaliza wanatoka kubutua mpira au kopo eti kombolelaaaaaaa mxiuuuu zao😆😆
 
Danadana.
Ile kushindana kufika 1000.

Gololi - Nilikuwa napiga vidole vyote 5 vya kulia.
 
Back
Top Bottom