Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

Ulikuwa Bingwa wa Michezo ipi Utotoni?

Ifahamu michezo asilia ya watoto inayotambulika katika Lugha adhimu ya Kiswahili

1) Kombolela
2) Mdako/nakwa
3) Rede
4) Nage
5) Tobo
6) Saga koboa
7) Ukuti ukuti
8) Kinyulinyuli
9) Visoda
10) Kula mbakishie baba

Itaendelea...

Golori, mabetri, kuchora,kuogelea,sambi/doso,mbio,kuwinda na mbwa na Kwa manati na kibaba na mama unakuwa baba ama mtoto....Kombolela ilinichosha siku nilikuwa nazinda Mimi wakabaki wawili kumbe wameenda kwao ..tafuta tafuta na wewe aaaah..... Nikawaacha ..sikucheza tena ..nimekumbuka na ule wa kinyuliiinyulikaaa
 
Kombolela hasa nyakati za usiku maana huko tulikuwa tunachaguliana me na ke
Unafaham nini? Kilichokuwa kinatokea ni siri yetu
Sasa Kombolela mnachaguliana vipi mume na Mke wakati pale mkibutua tu lindo/kopo mnatawanyika ... Labda mkakutane huko ...Ule wa kuchaguliana Mke na mume inaitwa KIBABA NA MAMA.. WAZAZI MNAKUWA NA KANYUMBA KENU NA WATOTO KANYUMBA KAO... Nilikuwa natengeza taa Kwa vibetri na tubalbu tule tudogooo ... Tunaweka kwenye nyumba yetu na watoto mnawaambia hakuna kuuingia Kwa baba mpaka mgonge hodi ...wanabaki nje wanajipikilisha mboga na ugali kwenye vikopo vya Tanbond vya bati....aseee
 
1. Rede kumanyua juu kwa juu eeeeh hewani
2. Tennis
3. Mbio za miguu 100m, 200m
4. Goroli
5. Uke wa Baba na Mama
6. Hide and seek
7. Swimming
8. Netball
9. Basketball
10. Football
11. Ngoma kukatika kiuno
12. Squash

Naishia hapo Nilikuwa kila jambo sipitwi..
Nili Unga juhudi za Rais aliyekuwa madarakani 🀣🀣🀣
 
Back
Top Bottom