secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Ina maana majambazi hawakupigwa enzi za utoto wao sidhaniIla tusingepigwa kipindi hicho tungekua majambazi leo🤣
Mkuu kwa jinsi nilivyokua kuna namna kupigwa kulinisaidia kiasi fulani🤣Ina maana majambazi hawakupigwa enzi za utoto wao sidhani
Mkongwe upo?Golori, mabetri, kuchora,kuogelea,sambi/doso,mbio,kuwinda na mbwa na Kwa manati na kibaba na mama unakuwa baba ama mtoto....Kombolela ilinichosha siku nilikuwa nazinda Mimi wakabaki wawili kumbe wameenda kwao ..tafuta tafuta na wewe aaaah..... Nikawaacha ..sikucheza tena ..nimekumbuka na ule wa kinyuliiinyulikaaa
Nipo Mzee mwenzangu....Mkongwe upo?
aisee ungekuwa Dodoma tungekuwa tunacheza Ps mkuu mimi ndo starehe yangu hyo nikitoka Job tu ni mimi na Ps nmejifungia ndani basi.adi sasa nacheza pale nikikutana na wale tulio cheza udogoni yan ni kama muunganiko flani usiofutika kwenye mioyo yetu wengine tupo mikoa tofaut but sometime mtu anaez kukwambia ntafunga safari nije kukusallimia pia tutapita sehem tujikumbushie vitu vyetu😁