Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza?

Mambo mengine kuweka humu ni ttzo mkuu naweza fukua makaburi inshort ukipata pesa ktk umri mdogo ukakosa mtu wa kukuongoza ubazikwa mapema lkn kwangu haikua hivyo
No one knows you mkuu.najaribu kukupata
Funguka kidogo tu
 
...Nilikua na 17, nakumbuka kipindi icho dingi ananiagiza bank kumchukulia pesa through ATM en the good thing alikua hataki habari za risiti, Nilikua namuibia sana hivi vi 4mil havikunisumbua kabisa, though saiz namiliki biashara zangu per day naingiza almost 3000k Calculate mwenyewe kwa mwezi naingiza sh ngapi!
 
Niajiri japo nipate ugali ndugu😊😊
...Nilikua na 17, nakumbuka kipindi icho dingi ananiagiza bank kumchukulia pesa through ATM en the good thing alikua hataki habari za risiti, Nilikua namuibia sana hivi vi 4mil havikunisumbua kabisa, though saiz namiliki biashara zangu per day naingiza almost 3000k Calculate mwenyewe kwa mwezi naingiza sh ngapi!
 
Mimi nilikua na19 nilitengeneza million4..rider,double punch,ng'ombe,
Kati ya ulivyovitaja hapo nimeelewa ng'ombe tu, ingawaje sijajua ng'ombe ulimtumia vipi kupata 4M..
Tusaidiane mkuu maarifa gani ulitumia hapa ili nasi tutengeneze milioni za kwetu!
 
nakumbuka 2010 ndio nme toka tu chuo nikalamba ajira nikapiga deal la 20M nikiwa na umri mdogo early 20's kilichofuatia ni history
Ulianza chuo ukiwa na miaka 17 ,la sivyo to a hiyo 20's weka miaka inayoeleweka, yaani kama 29 , 25 au hutaki tujue umri wako, kumbuka muulizaji kataka utaje miaka na siyo range ya miaka.
 
...Nilikua na 17, nakumbuka kipindi icho dingi ananiagiza bank kumchukulia pesa through ATM en the good thing alikua hataki habari za risiti, Nilikua namuibia sana hivi vi 4mil havikunisumbua kabisa, though saiz namiliki biashara zangu per day naingiza almost 3000k Calculate mwenyewe kwa mwezi naingiza sh ngapi!
Watoto wa mashavuni
 
Mm Nilimpiga Mhindi mwaka huu huu niliweka Elfu 10 nakumbuka Ligi ndo zilikuwa zinaishia ishia hv nikazama Premierbet nikaweka over 2.5 game 7 zote za Italy na zote zilifikisha hayo magoli nikala 1M na upuuzi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Mpaka leo bado sijabahatisha tena hata ka Laki kila siku inachana mechi 1
 
Hongera mkuu.jitahidi pia kuweka nguvu katika biashara zingine Mungu mwema ishalah
 
Back
Top Bottom