G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.