Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa aliyefariki ndiyo alikuwa anasababisha mahindi yawepo, baada ya muda nyani nao walikufa njaa vibaya sana kwa kukosa chakula.

Stori hii ya wahenga inafanana na kitendo cha Mbowe kushangilia kufariki kwa Magufuli, asijue kuwa ndiye aliyekuwa analinda uenyekiti wake wa Chadema.

Kila mtu anajua kama Magufuli angekuwa rais wa Tanzania isingewezekana Tundu Lisu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.

Freeman Mbowe ulishangilia wakati wengine wakilia ,leo ni zamu yako kulia huku wengine wakicheka na kushangilia.
Freeman Mbowe ni faida ipi uliyoipata kwa kushangilia kifo cha Magufuli?
Ulitaka alie kifo cha Magufuli? Mfano wako ni irrelevant wenye akili na wanaothamini maisha ya watu wote walifurahia kifo cha Magufuli
 
TUmesema majungu na vijembe mwisho, kushinda umeshinda sasa shipa la nini?
Mwanachama kuita press inakuwa nongwa? Demokrasia si kura za wazi tu bali ni pamoja na kumsikiliza mwenzako.

Tumsikikize ana yapi? tatizo lipo wapi? Anaweza kuja na jambo jema la kuijenga CDM mpya.... usimsurubu mtu bila kumsikikiza usiwe kama wale wayahudi enzi za Kristo.
 
Sitashangaa mpigwa risasi akaja kuwa dikteta kuliko yule aliyemwita dikteta uchwara
Akili za kichawi ndio zinazoweza kufikiria hivi, maana zinawaza uchawi uchawi tu na kuzimu. Lissu ni chaguo la wengi kubalini mikoba yenu ya kichawi na ramli zenu chonganishi tupa kule mmepitwa na wakati
 
Unganisheni wanachama wote, uchaguzi umeisha,sio muanze kufukuzana na kutenga wanachama waliokua upande mwingine

Acheni ujinga na mihemuko
Safisha nyumba. MLA RUSHWA asiishie kufukuzwa tu bali utafutwe ushahidi akafungwe.

Si ajabu Rushwa ndo imesababisha majanga makubwa. Eti hata Wenje aachwe tu!? Puumbavu
 
TUmesema majungu na vijembe mwisho, kushinda umeshinda sasa shipa la nini?
Mwanachama kuita press inakuwa nongwa? Demokrasia si kura za wazi tu bali ni pamoja na kumsikiliza mwenzako.

Tumsikikize ana yapi? tatizo lipo wapi? Anaweza kuja na jambo jema la kuijenga CDM mpya.... usimsurubu mtu bila kumsikikiza usiwe kama wale wayahudi enzi za Kristo.
Kura humaliza mabishano. Aliyeshinda na aliyeshindwa atulie. Mkuki Kwa Nguruwe
 
Kura humaliza mabishano. Aliyeshinda na aliyeshindwa atulie. Mkuki Kwa Nguruwe
Totauti ni kura 31 tu, kwangu mie wote wameshinda sasa kuendelea kutuniahiana misuli ni utoto, muda huu ni wa kuwaunganisha wanachama wote kuwa kitu kimoja.
 
You are a bad looser, kubali kushindwa kiungwana maisha yaendelee. Acha roho za kichawi prove hizo tuhuma na uongo wenyewe
Huu ndio mgawanyiko wenyewwe ndugu, wala usiende mbali ukidhani kwamba unawahusu aliens. Ninyi ni watu wa ajabu sana. Marekani uchaguzi umeisha na wote wamerudi pamoja kuendeleza nchi yao,
Safisha nyumba. MLA RUSHWA asiishie kufukuzwa tu bali utafutwe ushahidi akafungwe.

Si ajabu Rushwa ndo imesababisha majanga makubwa. Eti hata Wenje aachwe tu!? Puumbavu
Mmetumia kete ya tuhuma za kubumba zisizo na uthibitisho ili kukwea ngazi. Sasa mmeanza kutafutana uchawi. Yetu macho.
 
Huu ndio mgawanyiko wenyewwe ndugu, wala usiende mbali ukidhani kwamba unawahusu aliens. Ninyi ni watu wa ajabu sana. Marekani uchaguzi umeisha na wote wamerudi pamoja kuendeleza nchi yao,

Mmetumia kete ya tuhuma za kubumba zisizo na uthibitisho ili kukwea ngazi. Sasa mmeanza kutafutana uchawi. Yetu macho.
Una uchungu wa kushindwa uchaguzi kuliko hata Mbowe mwenyewe. Umekazania kuwa Lissu kashinda uchaguzi kwa tuhuma za kubumba zipi hizo unazizijua mwenyewe? Tumeshuhudia kuchafuana pande zote, Ntobi hadi kafukuzwa uongozi kwa kashfa na lugha chafu dhidi ya TL.

Tumemsikia Yericho Nyerere na kashfa na tuhuma alizotoa, tumemsikia Wenje pia, upande huu hauuoni? Ndio maana nimekwambia you are a bad looser.

Marekani uchaguzi umeisha sawa, umesikia kuna mtu anataka kuitisha press conference? Mbona hushtuki kwa nini baada ya uchaguzi mtu anataka kufanya press conference ndio kujenga chama? Huna hoja ndio maana nimekwambia hizo ni dalili za kichawi
 
Back
Top Bottom