Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.

Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?

Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?

Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Mzee wa mayai ya kisasa!!!
 
Kwa hiyo hawa ambao walipotea mkawasingizia viongozi waungwana wamewapoteza tumuulize Yeye? Basi na ninyi muombe radhi kwa wale mliowasingizia dhambi!
Elewa hoja. Alishirikiana na hao wauaji kwa kuwapa taarifa zao nyeti
 
TUmesema majungu na vijembe mwisho, kushinda umeshinda sasa shipa la nini?
Mwanachama kuita press inakuwa nongwa? Demokrasia si kura za wazi tu bali ni pamoja na kumsikiliza mwenzako.

Tumsikikize ana yapi? tatizo lipo wapi? Anaweza kuja na jambo jema la kuijenga CDM mpya.... usimsurubu mtu bila kumsikikiza usiwe kama wale wayahudi enzi za Kristo.
Kwani kazuiwa na nani? Au anatafuta attention tu?
 
Back
Top Bottom