Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

Mipasho
 
Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa aliyefariki ndiyo alikuwa anasababisha mahindi yawepo, baada ya muda nyani nao walikufa njaa vibaya sana kwa kukosa chakula.

Stori hii ya wahenga inafanana na kitendo cha Mbowe kushangilia kufariki kwa Magufuli, asijue kuwa ndiye aliyekuwa analinda uenyekiti wake wa Chadema.

Kila mtu anajua kama Magufuli angekuwa rais wa Tanzania isingewezekana Tundu Lisu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.

Freeman Mbowe ulishangilia wakati wengine wakilia ,leo ni zamu yako kulia huku wengine wakicheka na kushangilia.
Freeman Mbowe ni faida ipi uliyoipata kwa kushangilia kifo cha Magufuli?
 
Kama Mrema ndio alikuwa anahusika acheni afanye press na tuhuma hizo alizonazo ajadiliwe na apewe nafasi ya kusikilizwa ndio hatua zichukuliwe udikteta haufai na nimekuwa naupinga wazi haijalishi nani kafanya hivyo Lissu afuate tu misingi ya demokrasia na natural justice.
 
Same story hata wa team lissu

Mkulima wa mahindi chakadomoz ni baba ndubwi…. Soon mahindi yatakauka
 
Embu onyesha uthibitisho mbowe akishangilia kifo cha magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…