Ulikuwa unatoa taarifa nyeti za watu, wengine mpaka leo hatuwaoni wengine ndiyo kama hivyo. Leo unaanza kulialia?

usitusubiri nenda kajiunge kwa mama Abdul tuache tusake panya wamekula sana mahindi yetu.
Jidanganye. Mmepata uongozi kwa kuwakanyaga wenzenu kwa tuhuma za uongo, hamtafanikiwa kamwe.
 
Mmechafua watu mpaka mmepata madaraka. Bado mtaendelea kulinda madaraka kutumia mfumo wa kuchafua watu?

Jengeni chama mna kazi kubwa sio hii ya kuchafua watu.
 
Unganisheni wanachama wote, uchaguzi umeisha,sio muanze kufukuzana na kutenga wanachama waliokua upande mwingine

Acheni ujinga na mihemuko
 
Mmh! Hili bandiko nafikili umewakusudia watu mliosoma Cuba🤣🤣🤣
Tulisoma Sisimba, Maendeleo, Itiji, Majengo Juu, Majengo Chini, Mbata, Isanga, Muungano, Azimio, Manga NK tuna comment wapi?
 
Sitashangaa mpigwa risasi akaja kuwa dikteta kuliko yule aliyemwita dikteta uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…