Mzee wa mayai ya kisasa!!!Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta.
Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama?
Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena?
Hakuna aliyekusemesha, hakuna aliyekugusa. Uliangua kilio V.I.P room baada ya mzee wa mayai ya kisasa kuleta habari. Kumbe ulijua yajayo? Haya sasa! Nafsi na ikusute vizuri.
Elewa hoja. Alishirikiana na hao wauaji kwa kuwapa taarifa zao nyetiKwa hiyo hawa ambao walipotea mkawasingizia viongozi waungwana wamewapoteza tumuulize Yeye? Basi na ninyi muombe radhi kwa wale mliowasingizia dhambi!
Kwani kazuiwa na nani? Au anatafuta attention tu?TUmesema majungu na vijembe mwisho, kushinda umeshinda sasa shipa la nini?
Mwanachama kuita press inakuwa nongwa? Demokrasia si kura za wazi tu bali ni pamoja na kumsikiliza mwenzako.
Tumsikikize ana yapi? tatizo lipo wapi? Anaweza kuja na jambo jema la kuijenga CDM mpya.... usimsurubu mtu bila kumsikikiza usiwe kama wale wayahudi enzi za Kristo.
Mwenezi chademaWale wa D mbili tufungulieni code
Ha hahahaha,ndio uko vzr,mwenzio alishapuyangaWapiii tunasoma humu humu tu🤣
Tunaunganisha dot
PumbavumamakoSafisha nyumba. MLA RUSHWA asiishie kufukuzwa tu bali utafutwe ushahidi akafungwe.
Si ajabu Rushwa ndo imesababisha majanga makubwa. Eti hata Wenje aachwe tu!? Puumbavu
MremaMbowe