Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda kumng'oa nduli Idi Amin Dada.
Je ulikuwa wapi wakati huo?
Je ulikuwa wapi wakati huo?