Ulikuwa wapi kipindi ndege ya JWTZ inaanguka wakati wa kupokea wanajeshi waliotoka Uganda?

Nilikuwepo Uwanja wa Taifa na ndege ilivyokuwa inaanguka tuliiona kwa macho. Sherehe ambayo ilitakiwa kuwa ya furaha ghafla ikageuka kuwa ya majonzi. Niliondoka uwanjani kwa huzuni mida hiyo hiyo.
 
Ilikuaje Rubani wa ndege akaiangushia nje ya uwanja wakati ilikua inaangukia ndani ya uwanja.. Hii story ipo pale SKUA . Nataka nijue ni ile ile au kila sehemu Kuna Script yake
 
Back
Top Bottom