The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 6,048
- 18,347
Hakufanya maamuzi mwenyewe tu ndio Amri ilitoka afanye awezavyo iangushwe nje ya uwanja wa ndani wasalimike. Hii story Airforce Pale Tanga ipo lakini kila Leo inakua updated mpaka Radha inaisha.Kumbuka uwanjani alikuwepo Mzee Nyerere 😔 nadhani aliona ni bora aidondoshe nje tu