babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Aah alikua zake kivyake tu hata hapo usikute alikuwepo kimyakimyaMzee ametulia kama hakuna kitu kimetokea vile
Aah alikua zake kivyake tu hata hapo usikute alikuwepo kimyakimyaMzee ametulia kama hakuna kitu kimetokea vile
Rubani huyo alijengewa mnara pale kando ya chuo cha elimu Chang'ombe, sehemu ambako ndege ilipoangukia...Rubani wa ndege alipaswa kutambuliwa.
..Wananchi walitakiwa wajue wasifu wa rubani huyo.
..Mashujaa wa kweli hawapewi heshima na nchi yetu.
Rubani huyo alijengewa mnara pale kando ya chuo cha elimu Chang'ombe, sehemu ambako ndege ilipoangukia.