Was it 80 au 79!Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda kumng'oa nduli Idi Amin Dada.
View attachment 3276670
Je ulikuwa wapi wakati huo?
Mi nilikuwa kijijini Kwa Babu na Bibi,Radio ilikuwa RTD,Kwa ukamatani hadi Usiku Ndio inashika,muda mwingi tulikuwa tukusikiliza Radio Malawi(Zikomo kwa mbili=Ahsante sana)Ilikuwa tarehe Mosi September 1980 wakati ndege ya Jeshi la wananchi wa Tanzania ilipoanguka kwenye eneo la uwanja wa Taifa katika sherehe za kuwapokea wanajeshi wetu wakirejea kutoka Uganda kumng'oa nduli Idi Amin Dada.
View attachment 3276670
Je ulikuwa wapi wakati huo?
Duuuh noma sana hii hata wazo la kudinyana walikua hawanaNlikuwa kwa mayai na mapu@@@m@@@#b*@@@o* bado hata hawajaolewa wanizae
Hujajibu ulikuwa wapi?
Kuna parade za chipukizi tulifanya 1979 miezi hiyo zilikuwa za kuwapokea mashujaaKwenye makabrasa ya historia wanasema ni 1980 ingawa walimaliza shughuli yao Uganda mwaka 1979
Aiseeee Naona ni jibu kwa maelezo ya kina. Nikuwekee mkono shavuni homa haijapanda sana 🤔Nlikuwa kwa mayai na mapu@@@m@@@#b*@@@o* bado hata hawajaolewa wanizae