KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,456
- 5,462
Sema yaliyo moyoniAisee π
Iko 38.5CπππAiseeee Naona ni jibu kwa maelezo ya kina. Nikuwekee mkono shavuni homa haijapanda sana π€
80Was it 80 au 79!
Sio mbaya sana, Unatakiwa unywe maji mengi Uflash Hilo wenge.Iko 38.5Cπππ
Sawa mkuu
Hahahaha maji kwangu ndio tatizo kunywaSio mbaya sana, Unatakiwa unywe maji mengi Uflash Hilo wenge.
Ilikuaje Rubani wa ndege akaiangushia nje ya uwanja wakati ilikua inaangukia ndani ya uwanja.. Hii story ipo pale SKUA . Nataka nijue ni ile ile au kila sehemu Kuna Script yakeNilikuwepo Uwanja wa Taifa na ndege ilivyokuwa inaanguka tuliiona kwa macho. Sherehe ambayo ilitakiwa kuwa ya furaha ghafla ikageuka kuwa ya majonzi. Niliondoka uwanjani kwa huzuni mida hiyo hiyo.
Kumbuka uwanjani alikuwepo Mzee Nyerere π nadhani aliona ni bora aidondoshe nje tuIlikuaje Rubani wa ndege akaiangushia nje ya uwanja wakati ilikua inaangukia ndani ya uwanja.. Hii story ipo pale SKUA . Nataka nijue ni ile ile au kila sehemu Kuna Script yake
Uko wapi uongezee na maji ya madafu. Yatafaa sanaHahahaha maji kwangu ndio tatizo kunywa
Nyie nyie! rubani alifikiria kuokoa wengine hata katika nyakati ambayo alijua asingeweza kuokoa maisha yake πππIlikuaje Rubani wa ndege akaiangushia nje ya uwanja wakati ilikua inaangukia ndani ya uwanja.. Hii story ipo pale SKUA . Nataka nijue ni ile ile au kila sehemu Kuna Script yake
Hata huku hakuna madafuUko wapi uongezee na maji ya madafu. Yatafaa sana
Usishangae ukadharaulika kwa mchango wako ila wapo wajinga wengi humu walikuwepo kipndi hicho ila bado wanalipa kodi kwa baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba halafu kadi yenyewe haizidi laki tatu kwa mwezi.Nlikuwa kwa mayai na mapu@@@m@@@#b*@@@o* bado hata hawajaolewa wanizae