Hakufanya maamuzi mwenyewe tu ndio Amri ilitoka afanye awezavyo iangushwe nje ya uwanja wa ndani wasalimike. Hii story Airforce Pale Tanga ipo lakini kila Leo inakua updated mpaka Radha inaisha.Kumbuka uwanjani alikuwepo Mzee Nyerere ๐ nadhani aliona ni bora aidondoshe nje tu
Haaaa๐๐๐Usishangae ukadharaulika kwa mchango wako ila wapo wajinga wengi humu walikuwepo kipndi hicho ila bado wanalipa kodi kwa baba mwenye nyumba na mama mwenye nyumba halafu kadi yenyewe haizidi laki tatu kwa mwezi.
Humu watu wa mabohora ni wengi ila wanavyotamba sasa๐๐๐Haaaa๐๐๐
Humu ni matajiri wewe wana majumba na makwao ..๐๐Humu watu wa mabohora ni wengi ila wanavyotamba sasa๐๐๐
Ulifichwa ukafichika๐ค๐ค Lelo.Humu watu wa mabohora ni wengi ila wanavyotamba sasa๐๐๐
Nilikuwepo Uwanja wa Taifa na ndege ilivyokuwa inaanguka tuliiona kwa macho. Sherehe ambayo ilitakiwa kuwa ya furaha ghafla ikageuka kuwa ya majonzi. Niliondoka uwanjani kwa huzuni mida hiyo hiyo.
Kuna nyumbu humu wanahisi sisi ni maskini na vilaza , kuna mda inabidi utune kama ulivyo mamaeeeeee๐ ๐ ๐ ๐Ulifichwa ukafichika๐ค๐ค Lelo.
Kabisa tena haina hata sukari.Kwamba ni ๐ต
Wajinga na mataahira ni mengi humu. No time na mbwa zinazobwekaKuna nyumbu humu wanahisi sisi ni maskini na vilaza , kuna mda inabidi utune kama ulivyo mamaeeeeee๐ ๐ ๐ ๐
Acha tubweke tu hakuna namna bhoke๐๐Wajinga na mataahira ni mengi humu. No time na mbwa zinazobweka
Kama umeamua uwe Dog saaaahwa..MangiAcha tubweke tu hakuna namna bhoke๐๐
Umetisha sanaWengi wamepitia kwenye kipindi kulijua gari kuwa kuna hand break
View attachment 3277000