babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,476 Reaction score 21,202 Nov 5, 2025 #81 Damaso said: Mzee ametulia kama hakuna kitu kimetokea vile Click to expand... Aah alikua zake kivyake tu hata hapo usikute alikuwepo kimyakimya
Damaso said: Mzee ametulia kama hakuna kitu kimetokea vile Click to expand... Aah alikua zake kivyake tu hata hapo usikute alikuwepo kimyakimya
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,069 Reaction score 25,172 Nov 5, 2025 #82 JokaKuu said: ..Rubani wa ndege alipaswa kutambuliwa. ..Wananchi walitakiwa wajue wasifu wa rubani huyo. ..Mashujaa wa kweli hawapewi heshima na nchi yetu. Click to expand... Rubani huyo alijengewa mnara pale kando ya chuo cha elimu Chang'ombe, sehemu ambako ndege ilipoangukia.
JokaKuu said: ..Rubani wa ndege alipaswa kutambuliwa. ..Wananchi walitakiwa wajue wasifu wa rubani huyo. ..Mashujaa wa kweli hawapewi heshima na nchi yetu. Click to expand... Rubani huyo alijengewa mnara pale kando ya chuo cha elimu Chang'ombe, sehemu ambako ndege ilipoangukia.
J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 38,298 Reaction score 72,863 Nov 5, 2025 #83 Kichuguu said: Rubani huyo alijengewa mnara pale kando ya chuo cha elimu Chang'ombe, sehemu ambako ndege ilipoangukia. Click to expand... ..mnara sidhani kama unalingana na tendo la kishujaa alilofanya. ..pia jina la Rubani halitajwi ili apate heshima anayostahili. ..mashujaa wa kweli wa Tanzania hawathaminiwi.
Kichuguu said: Rubani huyo alijengewa mnara pale kando ya chuo cha elimu Chang'ombe, sehemu ambako ndege ilipoangukia. Click to expand... ..mnara sidhani kama unalingana na tendo la kishujaa alilofanya. ..pia jina la Rubani halitajwi ili apate heshima anayostahili. ..mashujaa wa kweli wa Tanzania hawathaminiwi.
Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 6,236 Reaction score 10,774 Nov 6, 2025 Thread starter #84 babukijana said: Aah alikua zake kivyake tu hata hapo usikute alikuwepo kimyakimya Click to expand... Mzee alikuwa na roho ya paka
babukijana said: Aah alikua zake kivyake tu hata hapo usikute alikuwepo kimyakimya Click to expand... Mzee alikuwa na roho ya paka