The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Kwahiyo unatakaje sasa kwa mfano?Huu uzi tayari upo humu zamani sana
Yule si alikua na hadhi ya kipekee hapa kwetu, walivyosimamisha masomo ilikua sawa...Nilikuwa darasa la tatu, Ngarenaro Primary School Arusha.
Eti walimu wakawa hawafundishi, tukawa tunaimba tu nyimbo za mamombolezo. ilinishangaza sana kwa kweli. Nilivopata akili vizuri ndo nikajua kumbe ulikuwa ni upumbavu wa aina yake, yaani mtu kufa inahusika vipi na walimu kutokuongia darasani karibu mwezi mzima?
Wew tunafanana, hata inawezekana umri ni rika lilelileNilikuwa Dodoma area A. Nilikuwa sijaanza shule.
Mkuu kweli wewe ulishuhudia mengi wakati ule.Siku kama ya leo marehemu Ben alitangaza, saa nne asubuhi kuwa Mwalimu ametangulia. Tulikuwa darasani, radio ya mchoma chipsi pembeni ya darasa letu ndo ilitupasha habari, kipindi kile ukisikia wimbo wa Taifa unapigwa redioni, mnakuwa shupavu kutaka kujua nini kimetokea, hivyo tulivyosikia tu huo wimbo, wote kimyaaa kusikiliza.
Ila wengi tulioishi maeneo ya karibu na kwa mwalimu tulishajua mambo yameharibika kule kabla ya tarehe tajwa, barabara ya kwenda kwa mwalimu ilikarabatiwa, walianza kukarabati nyumbani kwake, magazeti nayo yakiripoti; "Kawawa arudi na siri nzito" akitoka kumuona mwalimu St Thomas, mara Mwalimu apumulia mashine kwa 100%, magazeti ya Alasiri na Dar Leo yakiripoti hivyo, mara mortuary ya Muhimbili inakarabatiwa. Yote hayo yalikuwa kati ya tarehe 1 na 10 mwezi wa 10.
Nilikuwa darasani
Nashukuru nilikuwa napenda kusikia taarifa ya habari itv iliyokuwa ikitangazwa kwa lugha ya kiengereza kuhusu afya ya babu kule alikokuwa uingereza.Wakuu Salaam:
Leo October 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani.
Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa.
Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati hiyo taarifa imetoka na ilitangazwa usiku.
Ulikuwa wapi ulipopata habari hizi?
Shule,darasa la 4.Wakuu Salaam:
Leo October 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani.
Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa.
Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati hiyo taarifa imetoka na ilitangazwa usiku.
Ulikuwa wapi ulipopata habari hizi?