Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Kwani serikali huwa inapenda ku sugarcoat taarifa zake ?Naskia hii tarehe ni official annoucement tu ila yeye alikua ameshafiriki siku kadhaa nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani serikali huwa inapenda ku sugarcoat taarifa zake ?Naskia hii tarehe ni official annoucement tu ila yeye alikua ameshafiriki siku kadhaa nyuma
Tanzania tena? Oh!!
Duh[emoji23]Nilikuwa darasa la tatu, Ngarenaro Primary School Arusha.
Eti walimu wakawa hawafundishi, tukawa tunaimba tu nyimbo za mamombolezo. ilinishangaza sana kwa kweli. Nilivopata akili vizuri ndo nikajua kumbe ulikuwa ni upumbavu wa aina yake, yaani mtu kufa inahusika vipi na walimu kutokuongia darasani karibu mwezi mzima?
Sasa ivi upo wap kiongozi..14 oct,1999 nilikuwa wilaya ya IGUNGA MKOANI TABORA darasa la kwanza.
Nipo A town...Kipindi hicho wew ulikuwa wap kiongoz?Sasa ivi upo wap kiongozi..
Kumbe Wewe mkuubwa una mtoto wamiaka 20...Nilikuwa natoka kliniki
Ndio...tena huyo sio wa kwanzaKumbe Wewe mkuubwa una mtoto wamiaka 20...
Ukiniona popote uniamkie!!Nilikuwa shuleni darasa la tatu.
Nilikuwa igunga,Nipo A town...Kipindi hicho wew ulikuwa wap kiongoz?
Sawa kiongoziNilikuwa igunga,
Ole wako nasema ole wako radio wewe uzungumzie kitu nje ma msiba huo.Nilikua na miaka 19 tulipotangaziwa kua Nyerere kafariki. Nakumbuka redio sikuhiyo zilipiga nyimbo za huzuni sana.
Kipindi kile nilikua nimelala kwa baba mdogo bukoba ili asubhi niamke nielekee singida, ilibidi nisubir siku 3 mbele ndiyo nikaondoka.
ShikamooUkiniona popote uniamkie!!
Marahaba...ndi ndi ndi....Shikamoo