Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

Ulikuwa wapi wakati kifo cha Mwalimu Nyerere kimetangazwa?

Nilikuwa darasa la tatu, Ngarenaro Primary School Arusha.

Eti walimu wakawa hawafundishi, tukawa tunaimba tu nyimbo za mamombolezo. ilinishangaza sana kwa kweli. Nilivopata akili vizuri ndo nikajua kumbe ulikuwa ni upumbavu wa aina yake, yaani mtu kufa inahusika vipi na walimu kutokuongia darasani karibu mwezi mzima?
Duh[emoji23]
 
Nilikua na miaka 19 tulipotangaziwa kua Nyerere kafariki. Nakumbuka redio sikuhiyo zilipiga nyimbo za huzuni sana.

Kipindi kile nilikua nimelala kwa baba mdogo bukoba ili asubhi niamke nielekee singida, ilibidi nisubir siku 3 mbele ndiyo nikaondoka.
Ole wako nasema ole wako radio wewe uzungumzie kitu nje ma msiba huo.

UWANJA WA NZOVWE SHULE YA MZOVWE TUPO NA WASHKAJI.
 
Marahaba...ndi ndi ndi....
Wimbo wa Pépé Kállé unaitwa Seye.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Back
Top Bottom