Walikuwa watoto, sahizi ndo wanauelewa huu uzi.Huu uzi tayari upo humu zamani sana
Nilikuwa tayari graduate naongoza mradi Fulani. Nilienda stationary moja nikakuta wahudumu wote wanalia, nikawauliza Kuna Nini wakasema Nyerere kafariki. Ilikuwa huzuni Sana ila Mimi sikushtuka Sana maana vyombo vya habari vilitujenga kisaikolojia kwa muda Kama wiki nzima hasa magazeti yalikuwa kila siku yanaandika kwamba Nyerere haponi tujiandae kwa msiba mzito.Nilikuwa mbeya, nimeajiriwa serikalini.
Nilimlilia sana Mwalimu Nyerere.
Nilikumbuka elimu ya bure niliyopata, nililia sana.
Nilkmlilia Mwalimu Nyerere mpaka akanijia kwenye ndoto, ananionesha alivyozidiwa na madaktari walivhojitahidi kuushtua moyo lakini ikashindikana.
Aliniaga na akasema nimeondoka sitarudi tena acha kulia.
Mbali ya Mwalimu watu wengine wawili niliwahi agana nao mmojawao ni Marehemu Papa Yohana yule aliyewahi tembelea Tanzania,
Namshukuru Mungu kwa yale maono hayo makubwa hivyo.
Endelea kuPumzika vizuri huko Mbinguni Mwalimu Nyerere.
Hongera... Utakuwa na wajukuuu.muda sii mrefuNdio...tena huyo sio wa kwanza
Tayari ninae mmojaHongera... Utakuwa na wajukuuu.muda sii mrefu
Unadhibitisha utaahilaa wako mbele ya kandamnasi,ni kweli mpumbavu hajifichi,Kwa yanayoendelea nchini chini ya CCM wala sina haja ya kukumbuka chochote ndani ya watu wa CCM.
Uwe muasisi, uwe kada, uwe shabiki n.k
Twende na Lissu.
Nilikuwa darasa la kwanza, kijiji chetu hakipo mbali na Butiama ninachokumbuka niwatu wazima hasa vijana wakijijini kuhamia Butiama kwa mwalimu, waliporudi wakawa wanatusimulia jinsi walivyokuwa wakila na kunywa bure, siku ya mazishi tulisikia mizinga ya kijeshi wazee wa kijijini wakiongozwa na babu yangu walikuwa wamekusanyika kwababu wakisikiliza Redio Tanzania, huku tukizuiwa kucheza wala kupiga makelele, hakika kilikua kipindi cha majonzi kijiji chetu kilikuwa kimepoa sana, hapo ndipo nilipoanza kusikia story nyingi kuhusu Mwl NyerereMimi nilikuwa mwanza nyumbani,baadae nilitoka kwenda kupata moja moto moja baridi huku nikiangalia taarifa ya habari,baadae taarifa maalumu iliingia,lkn alikuwepo jamaa mmoja mlevi alikuja akazima tv na kusema nyerere ni nini?!, mzoga huo wa nini sisi,siku hiyo nilishudia kile ambacho sipendi nikikumbuke lkn pia siwez kukisahau,yule mtu alipigwa mpk aliuwawa hivihivi kizembe kizembe,
nazaliwaWakuu Salaam:
Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani.
Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa.
Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati hiyo taarifa imetoka na ilitangazwa usiku.
Ulikuwa wapi ulipopata habari hizi?
[emoji1787][emoji1787]Nilikuwa Breki ya nanunua barafu/icecream. Muuza icecream ambaye had I juzi namuona akiwa anaziuza alisikia kwenye redio yake akatuambia.
Shule ilifungwa tukaenda kwa Mzee kolo kuangalia maombolezo. Nililia mno japo nyerere nilikuwa sina ABCD zake sana
kwa hakika ingekuwa hivyo, ni masikitiko sana!Dah!
Zile picha za graduation zingekua ukumbusho wako leo
Nilikua kalobeOle wako nasema ole wako radio wewe uzungumzie kitu nje ma msiba huo.
UWANJA WA NZOVWE SHULE YA MZOVWE TUPO NA WASHKAJI.
Nilikuwa nasoma std 1 Mambo pr. School Lushoto Tanga...Wakuu Salaam:
Leo Oktoba 14 inatimia miaka 21 tangu muasisi wa Taifa hili atutoke duniani.
Wakati kifo chake kimetangazwa, binafsi mimi sikua na uwelewa kuhusu hilo hivyo sijukujua chochote kinachoendelea. Mwaka wa 2000+ ndiyo naelewa sasa.
Kuuliza uliza, kipindi kile tulikua Moshi wakati hiyo taarifa imetoka na ilitangazwa usiku.
Ulikuwa wapi ulipopata habari hizi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nilikuwa mwanza nyumbani,baadae nilitoka kwenda kupata moja moto moja baridi huku nikiangalia taarifa ya habari,baadae taarifa maalumu iliingia,lkn alikuwepo jamaa mmoja mlevi alikuja akazima tv na kusema nyerere ni nini?!, mzoga huo wa nini sisi,siku hiyo nilishudia kile ambacho sipendi nikikumbuke lkn pia siwez kukisahau,yule mtu alipigwa mpk aliuwawa hivihivi kizembe kizembe,
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo tukimwita sozniga.Shikamoo bro. Mi nilikua la 3. Njia nzima nilikua naangalia angani nikijua kwakua Baba wa Taifa amefariki wakoroni wanakuja any time. Yaani mawazo yangu Nyerere ni kama Anold Shwaziniga yaani yeye ndio kamanda mwenyewe.