Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Hahaha haya sasa wale mnaotaka namba za hajar mchekini ukhuty huko paulo makonda(pm) yake
 
Hahahahaha davet akasema umelala tukusubili asubuhi asubuhi saa kumi na mbili nimeingia imefunguka, sasa kufungua post inagoma daaah.nimeteseka sana
Hahaaa. Pale niliamka kufanya ile ibada ya Alfajir nilipomaliza si nikasema ngoja niingie jf nafika nimeandika halafu nikalala nakuja kujaribu mida ya saa mbili naona hali imerudi lol.

Ila pole kwa kuteseka kaka ake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…