Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
AiseeeeeeHahaha wakubet wengi sana..wsp kuna grps kama sita hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeeeeeHahaha wakubet wengi sana..wsp kuna grps kama sita hivi
Daah rafiki maudhi yasiyo elezeka. Nikawa nakosa kitu cha kufanya na simu nimeishika. Nikaamua kuingia Instagram ndio nikakuta tangazo lao.Pole sana rafiki. Sababu yale yalikuwa zaidi ya maudhi aisee.
HahahaNa mm nataka machungu yaishe sijakuzoea hivyo kabisa
Hahaaaaa. Nikaona tag lako la saa saba na Davet nikacheka sana aisee.
Sitaki kuamini kama hamjapata homa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi itatokea tena haitatokea banaHahaha
Ongea taratibu basi jamani, au unataka tudukuliwe tenaa
Niliona kuna mmoja anaitwa kijiwe ushenzy jamani anawatukanaga mashoga insta natamani tu ningemjua kwa I'd yake ya humu yaani alisema ametumiss sana
Duuh! Bora rafiki ulijiongeza.Daah rafiki maudhi yasiyo elezeka. Nikawa nakosa kitu cha kufanya na simu nimeishika. Nikaamua kuingia Instagram ndio nikakuta tangazo lao.
Jana hata vyupa vilikua havipandi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumebaki tunaulizana na mzigua huyu ni nani jamani na tumemfollow insta sababu ya matusi anayowatukana mashoga kumbe tupo nae jfHahahahahahaha tena aliwataja kwa majina
Hahaha haya sasa wale mnaotaka namba za hajar mchekini ukhuty huko paulo makonda(pm) yakejamani mie tangu jana sikuwa maeneo haya mara paaaaa leo asubuh naingia naona kitu kinaload masaa tele ili bidi nimwendee hewan dada hajar kumuuliza kulikon mbon siingii leo au simu yangu mbovu khee huk sijajibiwa bdo nikamzukia mwifwa looh ndo napewa habri mbaya niliishiwa nguvu jamni mweeeeeeh jf idumu jamni nashukur kwa taarifa dada angu kipenzi Hajar
Jana ndo niligundua kuwa naipenda jf kuliko Maelezo. Nilimiss vingi jamani. Jf members, nawapenda sanaBaada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Daah rafiki pole sana. Kikubwa tunashukuru tu umerejea.Duuh! Bora rafiki ulijiongeza.
Mie mtandao wangu ni jf tu aisee. Niliishia kucheka na watu Whatsapp basi mpaka iliporudi.
Hahaaa. Pale niliamka kufanya ile ibada ya Alfajir nilipomaliza si nikasema ngoja niingie jf nafika nimeandika halafu nikalala nakuja kujaribu mida ya saa mbili naona hali imerudi lol.Hahahahaha davet akasema umelala tukusubili asubuhi asubuhi saa kumi na mbili nimeingia imefunguka, sasa kufungua post inagoma daaah.nimeteseka sana
Mi mwenyewe hii gemu nilikuwa naicheki huku nikiwa na mawazo kwamba jf ndo basi tenaGame ya Real nliangalia dakika 10... haikua tamu.
Jf is addictive
Hahhaha wala mm tofauti kabisa na username yangu ya insta sema kuna mmoja alikuwa analalamika kamiss jukwaa lake wazee wa kubet nikamfananisha na usser
Hii inaonyesha pia how tuko naked na address zetu za device kubaki kusikojulikanaYou got a point....waliona nyuzi za 26 zinazidi wakaamua kufanya yao sio
Kuzidiana mkuu...wewe unafikiri kama mtu kawanunua wachina watakuacha salama?Nao hawa jamii forum michosho tu wanachezew kma nn bana