Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Hahaha uonisha majina...mbona unawatambua kirahisi tu,,,,yani kama wew huku shunie kule nikiona shey lee kalalama najua kabisa ni wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna mtu niliona kaandika kamiss uzi wa shunie na shoga ake demiss na mzigua..sijui nan yule jaman nlitamani kumjua..ila jana nlikua na kazi mbovu kila mlalamikaji ilikua lazima nichungulie page yake..[emoji23][emoji23][emoji23] nikakutana na picha vikatuni mara private mweh
 
Jana ndo niligundua kuwa naipenda jf kuliko Maelezo. Nilimiss vingi jamani. Jf members, nawapenda sana

Jamii forums ni Maisha yetu aisee, yani mimi kabla ya kujisajili rasmi nilikuwa naingia tu humu na kusoma mada na comments za watu kitambo tu.

Sasa nikaingia rasmi ndani ya mjengo daaah jana ndiyo nikaona moyoni kwangu ni kiasi gani jamii forum imeniingia moyoni
 
Inawezekana JF iliponzwa na maandamano ya Mange Kimambi, hali kama hiyo ilishawahi kutokea miaka ya nyuma, ,nakumbuka hata Maxence aliwahi kudakwa na kuswekwa polisi central enzi ya ex -RPC Tibaijuka.

Vv
 
Back
Top Bottom