Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Habari jamani? hivi kuna mtu anawapata ting muda huu kwa tp hii 12418 V 30000??
 
Wanajamvi, npeni soln ya hili tatzo. Decoder yangu ya Azam ilimwagikiwa maji so baadaye ikapoteza signal, nilijaribu kuikausha kwa kutumia bulb lakin bado haina signal, ila inasoma flash na kuplay, inaruhu kuscan na edit. Nifanyeje zaidi msaada plz
 
Wadau naombeni ujuzi ya kuweza ipata Eutelsat 10A at 10.0°E .C band shida yangu kubwa ni Kbc na K24!! na hapo hapo Eutelsat 10A at 10.0°E Ku napataje Zimbotv?
 
Kuna mtu alipost huku kua ukiwa na amos 5 unaweza pia kupata eutelsat 16E, naombeni mwongozo nafanyeje hapo ili niipate?,,, frequency, transponder n.k,
 
Kuna mtu alipost huku kua ukiwa na amos 5 unaweza pia kupata eutelsat 16E, naombeni mwongozo nafanyeje hapo ili niipate?,,, frequency, transponder n.k,

Amos 5? Au Amos 17e watalamu fafanueni hapo nahisi kuna kuchanganya madesa
 
Hajachanganya hapo amos5 ipo nyuzi 17e na eutelsat16e sasa hapo ukibalansi vizur unazipata zote ila hiyo 16e inapatikana baadhi tu ya maeneo kwa hapa tz
 
Kuna mtu alipost huku kua ukiwa na amos 5 unaweza pia kupata eutelsat 16E, naombeni mwongozo nafanyeje hapo ili niipate?,,, frequency, transponder n.k,

Tumia tp 10804/29999v ukiweza balance hio tp utapata 17e&16e size dish 3.5ft kwenda juu kwa uhakika zaidi
 
Tumia tp 10804/29999v ukiweza balance hio tp utapata 17e&16e size dish 3.5ft kwenda juu kwa uhakika zaidi

kwenye hiyo eutalsat 16e zipo chanel zipi?maana kuna nilizo zipata ambazo zote hakuna za English hata moja ambazo ni canal 1 mara canal 2!!!
 
Back
Top Bottom