Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Habari. Leo nitakuwa Dar na ntakuwepo kwa cku tatu. Nitafurahi kama ntaonana macho kwa macho na ndugu zangu wa JF hususan wawindaji wa satelaiti.

Mkuu nikukamatie wapi unifungie Dubai Sport & Aljazeera HD kwenye G6 yangu..
Natanguliza Aksante nyingi mkuu !!
 
Mkuu nikukamatie wapi unifungie Dubai Sport & Aljazeera HD kwenye G6 yangu..
Natanguliza Aksante nyingi mkuu !!

unahitaji ungo mkubwa kupata Jsc hd. Hd chnls zipo kwenye modulation 8psk tofauti na hizo unazopata.
 
unahitaji ungo mkubwa kupata Jsc hd. Hd chnls zipo kwenye modulation 8psk tofauti na hizo unazopata.

Nna ungo wa 6fts mkuu, na ukinambia ninunue wa futi nane pia nipo tayari hilo.

Thanks
 
ubora wa rcva unalinganishwa na specs. Str4922 is second to none( g6 na q11g). Kwa sw tangu g6 na qsat zimetengenezwa hakuna update. Mana yake nini. Rcva zilizotengenezwa mwanzo pa1 na mapungufu yao ziko vile vile? Hizo sw za kufungua paytvs haziongezi ubora wa rcva. Nikikonect g6 kwenye strong naona nafaidi zaidi kuliko nikii2mia rcva yenyewe 1 kwa 1. Nikichoka kuangalia picha nackili internet radio mpaka za bongo kama radio maria, radio mbao, zilizopendwa, mtwara fm, radio one na nyingine nyingi kibao. Kwa kweli mwenzenu ukitoa avatarcam g6 naiona rcva ya kawaida tu. Mpaka sasa rcva za kichina zenye updates ni openbox na skybox tu.

ivi na Avatarcam ni Sw kama Cccam a/c kama nayo ni Sw inafanyakaz kwenye strong 4922
 
azam tv eutelsat 7e freq 21477 H 27692 3/4 ila ipo ka band sio c au ku band kwahiyo jipange
 
Msaada plzz nahtaji channel yeyote inaonesha WWE show zote..nna ku dish ft 3 satelite na freq. zake ni muhimu sana!
 
Msaada plzz nahtaji channel yeyote inaonesha WWE show zote..nna ku dish ft 3 satelite na freq. zake ni muhimu sana!
Kakae pata receiver ya MPEG4 tega 57.0' E NSS 12 kuna Qtv inaonesha mieleka japo sio live.
 
Kakae pata receiver ya MPEG4 tega 57.0' E NSS 12 kuna Qtv inaonesha mieleka japo sio live.

Nataka ambayo inayonesha latest show na cyo delay sn km Qtv halaf na hz main event huwa hawaonyeshi...channel hyo iwe km Tensport,gladiator au MBC Action!
 
Mtoa mada kasema ili akamate AZAM TV unatakiwa utumie KA sio C BANDA wala KU ndio hapo nataka kujia hii KA no aina ya dish au kitu gani?

azam tv inapatikana kwa ku band pale degree 7 ilipokuwa gtv zamani. Ka band ni latest sana.kwa afrika bado sana kwa sasa inafanya kazi usa tena sio kote .ili kupata chanel chanel za ka tembelea lyngsat.com
 
Shukran sana mkuu! Wewe ndio umenijulisha KA band nini!
 
azam tv inapatikana kwa ku band pale degree 7 ilipokuwa gtv zamani. Ka band ni latest sana.kwa afrika bado sana kwa sasa inafanya kazi usa tena sio kote .ili kupata chanel chanel za ka tembelea lyngsat.com

Mbona ukiangalia footprint au beam ya azam TV inaonyesha ni KA band mkuu,
 
Back
Top Bottom