Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Utajiri wa nguvu za Giza ujasikia hii
Umekuja kukoment kwenye uzi wa mdau ukituhumu utajiri wa masharti ya kipumbavu ..ndio nasema dhibitisha Kauli yako kwenye hii mada na mhusika pia...
 
Huna ulichodhibitisha zaidi ya kuja kuleta lugha chafu kwenye uzi wa mtu kumtuhumu kua ana "utajiri wa masharti ya kipumbavu" ...heshima kitu Cha Bure ...
Nani mwenye utajiri wa masharti hapo
 
Buraq Mustapha naweza kuja dm ? Nna suala langu Private nataka kukuuliza
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Asiporudi ndio basi tu, tunaendelea na maisha mengine

Nilijifunza kwa njia ngumu kutoweka matarajio sana kwenye jambo lolote
Sawa , ila nipo niliwaambia nimetoka kidogo
πŸ˜‚πŸ˜‚ Asiporudi ndio basi tu, tunaendelea na maisha mengine

Nilijifunza kwa njia ngumu kutoweka matarajio sana kwenye jambo lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…