Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

Someeni maiti zenu suratul yaasin na msimuache maiti pake yake ndani ya chumba chake na msimuache maiti katika kiza washa mshumaa ndani ya chumba cha maiti na katika kumuosha karafuu maiti iwe ya kutosha bila kusahau Dua
Ina maana anapofariki akiwepo chumbani muda wote kunatakiwa kuwe na mtu/watu kwenye chumba alipohifadhiwa maiti...?
 
Story ishakuwa kama ya arsis
Hapana huyu usimfananishe kabisa na yule jini Arsis (anajisikia Sana aisee).
Ila huyu jamaa tulienae yupo very cooperative na audience yake. Anatuheshimu na kutujali kwa kuakikisha kujibu kila komenti ya mtu pia nampa hongera Kwa kujibu PM za watu kwa wakati pindi tu apatapo muda.
Kwa ufupi huyu jamaa/jini anaonesha ushirikiano mkubwa Sana.
 
Ni kweli jamaa anajibu pm hata Mimi kanijibu wasiwasi wangu ni kuwa anaweza kuachia simulizi njiani kama tulivyozoea kuona kutoka Kwa wasimuliaji wengine
 
Ni kweli jamaa anajibu pm hata Mimi kanijibu wasiwasi wangu ni kuwa anaweza kuachia simulizi njiani kama tulivyozoea kuona kutoka Kwa wasimuliaji wengine
Jamaa tuwe na imani nae ninahakika atamaliza. Kama anajibu PM za watu tena kwa wakati Yuko vizuri.
Asis hata muda wa kujibu PM za watu Hana kazi ni kiburi tu kimemjaa,anakuambia umulize public mtu una jambo lako la private ila yeye anakuambia uliseme public.
 
Hakuna nafsi inazaliwa na jini,na roho chagu yoyote inatoka vizuri sana
 
Wasimuliaji wengi wanafanana. Hata huyu hataimaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…