Umejuaje ilhali hukumu haijasomwa?hiyo ni hali halisi gentleman, binafsi
sihusiki na masuala hayo ya ramli π
"Visionary politicians "as visionary politicians in this beautiful country, I can see things coming as it is from far π
Unaingilia mwenendo wa Kesi.hiyo ni hali halisi gentleman, binafsi
sihusiki na masuala hayo ya ramli π
Mahakama za ma-CCM hizi kwahiyo usishanageUmejuaje ilhali hukumu haijasomwa?
Kata kiuno kata wewe mganga wa jadi kata Sana mauno yako kata lisu kakudatisha kataaaa kiuuunooooooooooo kataaaaaaaaaaaaaaahiyo porojo ndio nini hiyo gentleman kwa faida ya wadau wa JF?π
Hali halisi imeshatokea au unatabiri itatokea?hiyo ni hali halisi gentleman, binafsi
sihusiki na masuala hayo ya ramli π
Usituambie mmeshahukumu tayari kifungo cha maisha ili baadae mumsamehe?Huzuni, simanzi, vilio, mayowe na makelele holela kutawala viunga vya mahakama huru ya Tanzania jijini Dar Es Salaam, lakini pia kwenye mitandao ya kijamii kutakua na ukimya wa muda mfupi na kisha jumbe za kutafuta kiki na public sympathy zitaanza kufurika,
na kwa unafiki, maombi ya kipepo na
vifungu vya bibilia vitaanza kutumika na Mwenyezi Mungu ataanza kukumbukwa siku hiyo, wakati huo mambo yatakua yameisha tayari.
Hata hivyo,
mshindi wa yote atakua ni sheria na katiba ya Tanzania.π
Mungu Ibariki Tanzania.